DOKEZO Threads

Lamwike JF Huku kijijini kwetu Njelela kilichopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe kuna Mwalimu anatutesa sana, kwa sasa amekaimu Utendaji wa Kijiji baada ya Mtendaji aliyekuwepo...
3 Reactions
12 Replies
969 Views
Anonymous
DOKEZO 
Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano...
3 Reactions
4 Replies
502 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari NHIF, Mimi naomba kutoa malalaniko yangu kwa hizi shule za msingi ambazo mlipeleka uratibu wa Bima Shuleni (Afya Toto Card)... tuchukulie mashuleni. Ila kinachonisikitisha ni jinsi hizi...
0 Reactions
3 Replies
495 Views
Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika...
1 Reactions
9 Replies
986 Views
Anonymous
DOKEZO 
Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Habari, Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo...
3 Reactions
5 Replies
715 Views
Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
97 Reactions
451 Replies
53K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mkazi wa Wami Dakawa, Wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro Lalamiko langu kwa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii Mvomero na Mkurugenzi Mtendaji kwani hadi sasa hatujapata mrejesho wa maombi ya...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga . Wakati wa usiku unapofika hapo askari...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
Anonymous
DOKEZO 
Vyoo katika uwanja wa ndege wa kilimanjaro havina maji kwa mda mrefu na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mamlaka husika.
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Samakamba
DOKEZO Responded 
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wilaya ya Mvomero haijishugulishi na mji wake Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ni kama haipo. Wilaya hii eneo lake la centre (uso wa mji wa Mvomero) ni eneo moja linaitwa Wami Dakawa dakika 05...
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
1 Reactions
3 Replies
785 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika...
2 Reactions
5 Replies
469 Views
Soko la Keko Mwanga lilipo Temeke Jijini Dar es Salaam lina umri wa takribani Miaka 48, tangu lijengwe Mwaka 1976 Wafanyabiashara katika soko hilo wanasema halijawahi kukarabatiwa hata mara moja...
0 Reactions
10 Replies
941 Views
Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo...
1 Reactions
1 Replies
620 Views
Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Back
Top Bottom