1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano...
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
Aisee nianze kwa kuwaomba radhi wanangu wa KIGOMA kwa hili nitakalosema. Nguruka pamezidi kwa wizi hasa wa kwenye treni. Majambazi wakubwa bongo wote asilimia kubwa wanatokea Kona zile.
Binafsi...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill...
Mkurugenzi wa kampuni ya altezza.travel, inayomilikiwa na raia wa Urusi, amekuwa akijulikana kwa mafanikio yake katika sekta ya utalii.
Kampuni hii imeshinda tuzo ya mlipakodi mkubwa na mzuri...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna...
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES
Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
Nilikuwa naelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN University of Tanzania, supervisors (wasimamizi) wengi wa chuo hicho wana utaratibu mbovu katika kusimamia kazi za tafiti (research) kwa...
Kwa baadhi ya watu niliowahoji ambao walitapeliwa na Simon Makondya maarufu kama Mr. Manguruwe, kwa sasa wanahitaji msaada kutoka kwa serikali kufuatia utapeli waliofanyiwa na Mr. Manguruwe.
Pia...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura Jimbo la Malinyi Morogoro lilianza Tarehe 1-7 March 2025 , Baadhi ya mawakala ambao tuliongezwa katikati ya zoezi Hilo hatujalipwa fedha zetu Hadi Leo hii...
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia...
Hii ni baada ya wananchi kuhoji matumizi ya fedha hizo bila majibu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15, ndipo wameamua kuitisha mjadala kwenye group la CCM Musoma Mjini ambapo mbunge wa jimbo hilo...
Haudhurii mikutano inayotakiwa kufanyika kila asubuhi kituoni hapo, na anapoulizwa anajibu kwa kiburi kuwa yeye ndo kila kitu.
Sasa ni mwezi mzima stahiki za watumishi wenzake amezuia bila sababu...
Mnamo tarehe 20 March, BOT ilitoa tamko la kuongeza muda wa kufungua ofisi kutoka muda wa kawaida hadi saa 12 jioni. Vilevile, imetoa amri kuwa bank zifunguliwe siku ya tarehe 30 ambayo ni siku ya...
Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama...
Wakala wa usajili na Vifo RITA ambayo ipo chini ya FRANK KANYUSI aliyekuwa CEO BRELA
Kabla ya Uteuzi wa Kanyusi RITA walikuwa vizuri, Kanyusi amewapeleka next level lakini Huduma zimerudi kipindi...
Wakuu, Heri ya mwaka mpya 2024.
Barua hii ni taarifa kuhusu ubora wa elimu inayotolewa katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa ufundishaji na utoaji wa masomo ya Shahada za elimu zenye...
Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa.
Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa...
Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza.
Aidha Wanafunzi Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.