Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa.
Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa...
Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza.
Aidha Wanafunzi Hawa...
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mitandaoni, hasa kwenye Facebook, X na hapa JF, kuhusu sakata la Wachina kwenye biashara za rejareja.
Inaonekana wale ambao hawafanyi biashara au...
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Pia...
Nimekuwa nikijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa maegesho ya SGR kwenye stations zote kama mapato yatokanayo na ada ya maegesho yanaenda wapi?
Kama ni mapato ya serikali kwanini yasilipwe kwa...
Kuna andiko linasambaa Mtandaoni mwa Kasi kuhusu tuhuma dhidi ya RCO wa Kagera na Jeshi la Polisi kwa jumla, lakini kumekuwa na ukimya kama vile kinachozungumzwa ni simulizi za kwenye vitabu.
Ni...
Ubalozi wa uturuki umekuwa ukiwanyima watu visa bila kuwaeleza sababu za msingi za kukosa visa hata kama una documents zote bado unaweza ukakosa visa.
Hii sio hali ya kawaida ukizingatia visa zao...
Kwa niaba ya wafanyabioshara wa Kariakoo-Dar, kata ya Kariakoo, mtaa wa Kariakoo Magharibi, tunaomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa mchakato wa usajiri na utoaji vyeti kwa vikundi vilivyo...
Utangulizi
Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha...
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa...
Kwenye miji mikubwa kumeibuka viwanda mbalimbali visivyohitaji space kubwa vingi ni hatarishi kwa afya za watu kwenye maeneo ya makazi.
Vingi ya viwanda hivi vimeyakuta makazi,
Unakuta tu mtu...
Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi...
Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali...
UTARATIBU UNAOTUMIKA NA PSRS KWENYE MCHAKATO WA USAHILI SIO STAHIMILIVU KWA WASAILIWA, HAUZINGATII GHARAMA ZA MCHAKATO KWA WASAILIWA, NA HAUNA UWAZI KWA WASAILIWA WARUDISHE ONLINE ITASAIDIA...
Habari kutoka Busega Halmashauri ya Busega ya Mkoani Simiyu, imeelezwa kuwa, viongozi na Watumishi wa Serikali wapo kwenye orodha ya kuhujumu uchumi kufuatia kutoa tenda na kufanya minada pasipo...
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na...
Habari wanaJF, Kuna haja ya kufanya mabadiliko katika jeshi la uhamiaji, Mara nyingi nmekua naona wanafanya ukaguzi kwenye mabasi tu kama Kuna raia wa kigeni lakini usiku huwa hawakagui.
Kuna...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja.
Kila tukiripoti TANESCO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.