DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna taasisi hii ya DIRECT AID SOCIETY (DAS). Ina makao yake makuu Dar, inamiliki vyuo vya Morogoro University of Muslim (MUM) pamoja na SUMAIT University kipo Zanzibar. Ukweli hiki chuo cha...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Anonymous
DOKEZO 
Waziri wa Ardhi nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Napende kukutumia ujumbe wa utapeli au uporaji wa ardhi kwa wananchi wa Mbopo wilaya ya kinondoni na watu wanaojiita DDC...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Kampuni ya Boss Kazi iliyopewa tenda na Manispaa ya Ubungo kukamata vyombo vya moto vilivyoegeshwa kimakosa (Wrong Parking) wanafanya kazi kimabavu, bila kufuata sheria na maadili ya kazi...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni...
29 Reactions
256 Replies
35K Views
Anonymous
DOKEZO 
Hello habari, Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila...
0 Reactions
6 Replies
753 Views
Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Mchakato wa utoaji wa zabuni ya dawa na vifaa tiba kwa hospitali na vituo vya afya vya serikali katika Mkoa wa Mwanza umekumbwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu, ukihusisha maafisa wa Kitengo cha...
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant...
44 Reactions
593 Replies
77K Views
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
11 Reactions
165 Replies
10K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
a Aprili 29, 2025, kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza...
1 Reactions
0 Replies
898 Views
Anonymous
DOKEZO 
Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna uuzaji holela umefanyika na baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Kijiji kwa muwekezaji anayechimba molamu jambo ambalo linahatarisha usalama wa makazi ya Watu hasa Watoto wanaoishi maneo haya...
0 Reactions
3 Replies
769 Views
mwanamwana
DOKEZO Responded 
Ni mambo ya ajabu sana huku tulipofikishana. Septemba 21 mwaka huu DAWASA iliuhakikishia umma wa Tabata kuwa kutakuwa na uhakika wa maji, lakini mpaka leo navyopandisha mnakasha huu kuna baadhi ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi. Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha...
2 Reactions
5 Replies
550 Views
Wapendwa habarini.Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo Dodoma.Nina nyumba yangu nimeijenga Boko. Nilimaliza kuijenga Mei mwaka huu na Juni nikapata Mpangaji(Mme na Mkewe). Nilishukuru maana Mpangaji...
32 Reactions
178 Replies
8K Views
Back
Top Bottom