DOKEZO Threads

Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Rev.Prof. Philbert Vumilia Vice Chancellor ,Mwecau: Changamoto za Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Mwecau kimekuwa kivutio kwa wanafunzi wengi wanaotaka kupata shahada za uzamili (Masters)...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Anonymous
DOKEZO 
Pamoja na kuwa ni soko kubwa lililosheheni Wafanyabiashara wengi wa kila aina, soko hili lililo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha limekuwa na mfumo mbaya wa ukusanyaji ushuru kitu...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Anonymous
DOKEZO 
Naomba kumpongeza waziri na wizara nzima ya kilimo kwa bajeti iliyo na mashiko pia inayoonesha matumaini. Leo nimeleta hoja mezani hasa ikilenga taasisi ama halmashauri ambazo kwa asilimia kubwa...
2 Reactions
4 Replies
484 Views
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Kuna Askari ambao wamevaa kiraia wamekuja na karandinga la Polisi hapa kwenye kituo cha Maili Moja Mkoani Pwani usiku huu kuanzia majira ya Saa Tatu Usiku na kuanza kukusanya pikipiki za kuziweka...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu, Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira...
14 Reactions
233 Replies
8K Views
Anonymous
DOKEZO 
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
informer 06
DOKEZO Responded 
Baadhi ya Walimu katika Shule za Msingi Mugana A na Katarabuga ziliyopo Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa ajili ya manufaa yao...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nilishawahi kuandika kuhusu hii shule, walimu hawafundishi, hawaingia darasani, headmaster haonekani shuleni, hajui kinachoendelea ktk shule anayoiongoza. Inaumiza, inasikitisha jinsi watoto wa...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Tarehe 17 may,2025. Kuna mwananchi mmoja kata ya Reha,Kijiji Cha Nessae wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro alichomwa moto na mwanachi. Jeshi la polisi lipo kimya na tunazo Taarifa kua wanataka...
1 Reactions
6 Replies
537 Views
Huyu Mkenya anamiliki pori lililopo karibu raia ambapo Kwa mbele ya Hilo pori shule ya West Gate Secondary ya wanawake, nyuma ya shule hiyo kuna pori kubwa linalofuga wezi na majambazi...
32 Reactions
308 Replies
11K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Mimi ni mdau wa JamiiForums, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Mtaa wa Makamba, jirani na Shule ya Msingi Makamba. Mtaani kwetu tumepitiwa na mradi mpya wa maji kutoka DAWASA, pamoja na kwamba baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Anonymous
DOKEZO 
Maeneo ya Ubungo External kwenye jengo la Benjamini Mkapa Exporting And Processing Zone (EPZA), ndani yake kuna kiwanda cha nguo TOOKU GARMENT. Kiwanda hicho kina majengo takribani 7 A–F. Tarehe...
1 Reactions
4 Replies
645 Views
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Viongozi wa Kata ya Lukobe Kihonda katika Mtaa wa Majengo Mampya Manispaa ya Morogoro wakiwemo Mtendaji na Diwani wamekuwa wakijihusisha na biashara ya mchanga uliopo eneo la Shule ya Juhudi kwa...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu. Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo. TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela...
27 Reactions
64 Replies
5K Views
Anonymous
DOKEZO 
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya...
1 Reactions
2 Replies
778 Views
Residents of Mikocheni A are facing a growing health crisis due to a heavily polluted river running through their neighborhood. The river, clogged with waste and trash, poses a significant danger...
0 Reactions
4 Replies
593 Views
Back
Top Bottom