Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Yote kwa yote hatuwez wote kuwa na mawazo sawa due to changamoto tunazopitia hence kila mtu atabaki kama alivyo with his/her own perspective... mtoa mada upo sahihi kwa upande wako but kwa wengine ni tofauti so nazani ni bora wakuache tuh cuz wao sio wewe and the opposite ingawa wana haki ya kuhoji but sio kukosoa
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe utakuwa walewale wa rainMBORO. Hata sasa haujachelewa. Nenda Mombasa uishi kama unavyotaka
 
Sijadanganya mkuu,

Jiulize kwa nini huyo Mondi hatulii na mke mmoja?. Kila baada ya miaka michache anachumbia mpya na kuacha. Tena bora ungemtolea mfano mtu mwingine, Huyo ana mnyororo wa wanawake pisi kali aliowazalisha na kuachana nao na wengine mfano Wema na Zuchu ndio hawajabaatika kubeba ujauzito. Kwa sasa wamekuwa Dada zake wa mchana tu, Usiku ukiingia anaweza kuwaita wakumbushie.
Kwahiyo hata Bibi na mama yako diamond anawakata tu akiwataka maana nao ni wanawake. Yaani hadi Saa100 naye. Wewe ni mpuuzi wahed, kwa maandishi yako jsmaa anaweza hata wewe kukukata
 
Yote kwa yote hatuwez wote kuwa na mawazo sawa due to changamoto tunazopitia hence kila mtu atabaki kama alivyo with his/her own perspective... mtoa mada upo sahihi kwa upande wako but kwa wengine ni tofauti so nazani ni bora wakuache tuh cuz wao sio wewe and the opposite ingawa wana haki ya kuhoji but sio kukosoa
Mungu akubariki [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mpaka unaweza kuwa mwanamke daah sio poa kinomaaa Yani Sina hakika kama una marindaaa bro mpwayungu umekuwa mpwa ubwabwaa
 
Ni mwili unaomsukuma kuwa vile yaan kama anavyotamani kumtafuta mwanamke hata kama ni kumpa chochote ilimradi apate mbususu katka mazingira hayo atabadirisha sauti, atabadirisha miondoko, vipodozi nk ilimradi tu apendwe na me, wakati huohuo anaogopa kujulikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah nyie watu, uwiiiiiiih
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom