Time Heist and Time Apocalypse: Jinsi muda unavyoathiri Maisha ya ulimwengu na vilivyomo

Time Heist and Time Apocalypse: Jinsi muda unavyoathiri Maisha ya ulimwengu na vilivyomo

Hapo juu umekiri hujasoma Physics, hiyo inatosha kuonesha nabishana na nani.... mwerevu kapokea marekebisho wewe unashupaza shingo.

Cheers [emoji1635]
Suala la kusoma au kutokusoma Physics liweke pembeni na unaweza kusoma physics na ukawa KILAZA kama wewe ambaye unasema pameandikwa Wormhole ilihali ni Warmhole

Huo ni ushahidi kuwa hata Physics ulifeli kwasababu hata kusoma tu kilichoandikwa HUJUI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom