Lema inabidi aende shule ili atimize malengo

Mugisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
411
Reaction score
360
Ndugu yangu Lema-

Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.

Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).

Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.

Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.
 
Kwa kweli hakuna jinsi. Godbless unahitaji shule au elimu ya Uongozi. Tena inatakiwa muwe kwenye group study moja na Joseph Msukuma mkisimamiwa na kuandikiwa notes na Milinga. Maana elimu ni muhimu sana kwa viongozi...chukueni mfano kwa Mh. Livingstone Kibajaj alivyotulia baada ya kupata elimu ya Uongozi.
 
Shida ni nini? Lugha ya kiingereza au una lingine? Tunamuelewa Lema acha propaganda zako unajaza server kwa upupu wako! Usimpangie mtu maisha hangaika na maisha yako.
 
Vipi na jpm??

Kwenye suala zima la lugha haihitaji kurudi shule??

Maana kwanza kwenye Kiswahili tu ana kilema cha herufi r na l ( poreni badala ya poleni)..

Kwenye kiingereza hali ndio mbaya zaidi..
Hayuko fluent na anatengeneza a lot of grammatical errors kama tulivyowahi kuona kwenye baadhi ya tweet zake.

Ukija kwenye Elimu ya Siasa, huyu hali ndio mbaya zaidi.

Hili linadhihirishwa na hotuba zake..

Huwezi kuwa na Elimu ya Siasa kwa mfano ukaenda Bukoba ukatoa hotuba ya namna ile kwa wahanga wa tetemeko la ardhi..!!

Madhara ya kutokuwa na elimu ya siasa na kutojua kiingereza fasaha kwa Lema ( kama yapo) HAYANA athari yoyote kama ilivyo kwa nafasi aliyo nayo jpm.
( ndio maana labda anakwepa vikao vya kimataifa. Kwa mfano dunia nzima ipo New York hivi sasa kwenye UN General Assembly lakini yeye aka opt kwenda Mererani kufungua barabara ambayo ingefunguliwa na kiongozi yeyote yule).
 
Lema na JPM nan? Anajua kuzungumza vizuri kiingereza?
 
Ndugu yangu Lema-

Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.

Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).

Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.

Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.

Akishasoma utaomba akuchumbie? Sasa nakupa namba yake mpigie 0689818181
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli dunia haitakaa iishe vituko..................... all the people umemwona Lema? hilo kubwa jinga lenu hamjaliona? si ndururu wala chuchuchu. ya moja haikai wala ya mbili hainasi hebu tupisheni na maisha yetu sie alaaa
 
Hawajiamini wanafikiri ili waonekane wameongea vya maana basi wanaongea maneno ya kiingereza.
 
Kwa kweli hakuna jinsi. Godbless unahitaji shule au elimu ya Uongozi. Tena inatakiwa muwe kwenye group study moja na Joseph Msukuma mkisimamiwa na kuandikiwa notes na Milinga. Maana elimu ni muhimu sana kwa viongozi...chukueni mfano kwa Mh. Livingstone Kibajaj alivyotulia baada ya kupata elimu ya Uongozi.

Muongeze na Magu hapo.
 
Ndugu yangu Lema-

Huu ni ushauri wangu kwako ili kukujenga na kukufanya uwe bora zaidi (constructive criticism). Lema ndugu yangu, unatatizo kubwa sana la kuongea kiingereza- kama mimi. Huna utawala mzuri wa lugha hiyo. Hivyo basi, jifunze kiingereza na epuka kuweka maneno ya kiingereza kila wakati unapoongea kiswahili. Hii ni tabia mbaya sana ya sisi watanzania. Ndio maana tumejikuta hatajui lugha zote mbili. Usione aibu kukiri kutojua na kujifunza.

Ndugu yangu Lema- unatatizo kubwa sana la kuchambua mambo. Huwa unachanganya sana mambo. Nadhani mara nyingi unakuwa na jazba na kutaka kuongea kila kitu. Mwanasiasa mzuri ni yule aliyekuwa mtulivu. Adui wako wa kisiasa leo ni rafiki kipenzi kesho (mfano mzuri Lowassa).

Ndugu yangu Lema- kwa nafasi yako ya waziri kivuli haiendani na elimu yako na wala utawala wa lugha na kuchambua mambo. Nakushauri soma zaidi ndugu yangu. Julius Malema wa EFF wiki iliyopita kahitimu degree yake ya kwanza na anataka kusoma masters. Wewe pia unaweza na unauwezo huo.

Ndugu yangu Lema- mwanasiasa mzuri ni yule anayeyaona haya na kuchukua hatua.
Huyu unayempa ushauri wa kusoma ili afikie malengo yeke amekuzidi kila kitu. Kakuzidi elimu, fedha na hata wadhifa. Mwenzako ni Mbunge wa jiji la arusha na ni waziri kivuli wakati wewe maskini tu wa Lumumba unakula mihogo kwa buku7 mnazolipwa kuandika upuuzi jukwaani.

"Tumekabidhi nchi washamba"-Zitto Kabwe!
 
Kujua kiiengereza sio kipimo cha akili kama uhamini muulize trump
 
Huo ushauri wako ungempa kabla hata Ubunge asingeupata!
 
Back
Top Bottom