Lini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli atahutubia UN?

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,272
Naangalia Straight Talk Afrika kupitia Star Tv naona viongozi mbali mbali wakikaririwa, akiwemo rais wa Zambia kwa upande wa Afrika. Nimetamani sana kumuona JPM akitiririka pale mbele ya viongozi mbali mbali wa dunia akiwemo rais wa USA Donald Trump. Kwakweli huo ndio ungekuwa uwanja wa yeye kujitambulisha kidunia na kuitangaza Tanzania. Hapo ndipo angechomekea definition ya Catalyst ili akina Trump wamtambue kuwa yeye ni Dr. mwanasayansi wa kusomea na siyo wa kupewa. Nategemea kikao kijacho atakwenda yeye mwenyewe in person badala ya kila mara kuwakilishwa na waziri wa mambo ya nje Mahiga au makamu wake Samia.
 
Kinachotakiwa UN ni uwakilishi wa Tanzania na sio jina la mtu. Kwani kiti cha Tanzania kimebaki wazi huko UN?
Halafu umemtaja rais Zamabia kuwa anahutubia, hebu soma hii link alafu urudi tena hapa jukwaani.
Magufuli Not Going To The UN General Assembly To Save Costs While Lungu Charters A Private Jet Again
 
Bora asiende kabisaaa!
Hakawii kufanya kituko cha karne, ujue anaweza kumuita ****** kwa jina akimtaka amtoe rais wa malawi nje ya ukumbi na kumpeleka kwenye kamati ya maadili na.... dodoma! Shubarmiti!

Hotuba za kiswahili tu zinamshinda full kulalamika na kuomba aombewe, sasa huko UN atamuomba nani amuombee.
 
Naangalia Straight Talk Afrika kupitia Star Tv naona viongozi mbali mbali wakikaririwa, akiwemo rais wa Zambia kwa upande wa Afrika. Nimetamani sana kumuona JPM akitiririka pale mbele ya viongozi mbali mbali wa dunia akiwemo rais wa USA Donald Trump. Kwakweli huo ndio ungekuwa uwanja wa yeye kujitambulisha kidunia na kuitangaza Tanzania. Hapo ndipo angechomekea definition ya Catalyst ili akina Trump wamtambue kuwa yeye ni Dr. mwanasayansi wa kusomea na siyo wa kupewa. Nategemea kikao kijacho atakwenda yeye mwenyewe in person badala ya kila mara kuwakilishwa na waziri wa mambo ya nje Mahiga au makamu wake Samia.
un hakuna wa kufasiri kisukuma
 
Back
Top Bottom