Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

Tatizo vikao vingi havina lolote la maana. Ni kula posho tu. Ukweli acha uitwe ukweli. Africa wanaoiangamiza ni viongozi wasiojari waafrika maskini wanaendeleaje. Wao ni kujipa uteule na kula bata tu.
Acha JPM akae magogoni mpaka kieleweke...hata hivyo yule mwingine bado mbona anasafiri sana. Halafu siku hizi ni mtunzi mzuri wa nahau na methali baada ya kuachia madaraka. Naye alikuwa baba haambiliki amesahau tu

Unasemaje vikao havina maana wakati Tanzania tunaenda kujadiliwa kama nchi kwa kwenda kinyume na maagizo ya baraza la usalama la umoja wa mataifa

Je unajua tukibainika ni kweli tumekiuka jitihada zote hizi zitakuwa hazina faida

Tuna bahati Tuna wanadiplomasia bora la sivyo
Heko Jk kwa kuwalea Mahiga & co
 
Mwakilishi anaenda kama wewe na mimi tunavyoenda.So cheap. Kuna marais wanaenda na magari hata 20 na kuendelea. Na wasaidizi lukuki. Nani analipia hizo gharama? Hivi hili bara linanufaikaje na vikao vyao? So sad....
Kama kila siku anatuma mwakilishi yeye atajifunza lini masuala ya diplomasia.
 
Unasemaje vikao havina maana wakati Tanzania tunaenda kujadiliwa kama nchi kwa kwenda kinyume na maagizo ya baraza la usalama la umoja wa mataifa

Je unajua tukibainika ni kweli tumekiuka jitihada zote hizi zitakuwa hazina faida

Tuna bahati Tuna wanadiplomasia bora la sivyo
Heko Jk kwa kuwalea Mahiga & co
Akili za kutawaliwa shida . Mheshimiwa anapiga kazi mnataka atembee hili muibe ? shwaini
 
Kwani nchi imeathirka vipi kwa Magufuli kutohudhuria vikao hivyo?

Ndugu,

Nchi haiendeshwi kama.kijiji.

Diplomacy is the art and practice of conducting negotiations between representatives of states. It usually refers to international diplomacy, the conduct of international relations . Through the intercession of professional diplomats with regard to a full range of topical issues.International treaties are usually negotiated by diplomats prior to endorsement by national politicians.

Hiyo senteso ya mwisho inasisitiza kwa nini anatakiwa kwenda. Mimi nimesikia pahala Madakitari wamemshauri asitumie usafiri wa anga. Sasa New York ataendaje hata kama anataka?
 
Bora abaki tu, akienda huko tunaweza tukaingia garama ya kufanya uchaguzi kabla ya wakati, wazungu watamchukua yeye then wataachia ile ndege.
 
Ndugu,

Nchi haiendeshwi kama.kijiji.

Diplomacy is the art and practice of conducting negotiations between representatives of states. It usually refers to international diplomacy, the conduct of international relations . Through the intercession of professional diplomats with regard to a full range of topical issues.International treaties are usually negotiated by diplomats prior to endorsement by national politicians.

Hiyo senteso ya mwisho inasisitiza kwa nini anatakiwa kwenda. Mimi nimesikia pahala Madakitari wamemshauri asitumie usafiri wa anga. Sasa New York ataendaje hata kama anataka?
Magufuli na Mahiga nani ni diplomat mzuri?acheni watu wafanye kazi zao,hivyo vikao vinahitaji wanadiplomasia wabobezi kama Mahigahaswa wakati huu ambapo mafisadi na wawekezaji wamepitia kwenye mgongo wa UN,kwenda Rais ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom