Msaada kuhusu jukwaa la wakubwa, nasikia ni kutamu sana

hamjambo? nasikia kuna jukwaa la wakubwa kuna vionjo vitamu si mchezo.. hivi ukitaka kujiunga unafanyaje maana nimepekua forum' zote sijaona.
nipeni maujanja

hv we mdg wangu una matatizo gani kwani? maana we kila siku mtu wa majanga tu.... sa huko jukwaa la wakubwa we unataka ukafanye nn?...mwishowe utaanza masterbation na kulegeza mishipa yako na baadae tatizo la nguvu za kiume litakuhusu..usiende huko mdg wang we bado ni mdg sana shikamana na ibada mpe talaka 3 shetani
 
Yani ni kutamu hatari tena hiki kipindi ndo acha kabisa ni zimejaa bendera za ukawa yani habari ni lowasa na UKAWA tu.... Hadi raha

Hawa madogo watatuletea balaa, puppa, kule hakufai kabisa tena usijaribu hata kuchungulia.

Kuna maaskari watakukamata.
 
Last edited by a moderator:
17years na jukwaa la uzinifu huoni hata haya kuandika hii thread public kama hivi...hawa members wanaochangia wanakudharau sana wanakuona huna future kwa kufatilia mambo yakipuuzi kama haya ..

jukwaa la uzinifu?kule wana kupa training ya maisha ya ndoa ya baadae wanakufunza ni jinsi gani utaweza kumu handle mkeo/mumeo
na mimi niko nafanya research.... mtu anafanya research kujaribu kama mamba anaua au laah, sembuse mimi nafanya research jukwaa la wakubwa.. niko smarter
 
hv we mdg wangu una matatizo gani kwani? maana we kila siku mtu wa majanga tu.... sa huko jukwaa la wakubwa we unataka ukafanye nn?...mwishowe utaanza masterbation na kulegeza mishipa yako na baadae tatizo la nguvu za kiume litakuhusu..usiende huko mdg wang we bado ni mdg sana shikamana na ibada mpe talaka 3 shetani

sina matatizo na wala sina majanga.. nataka niende jukwaa la wakubwa ili nijue yaliyomo
 
jukwaa la uzinifu?kule wana kupa training ya maisha ya ndoa ya baadae wanakufunza ni jinsi gani utaweza kumu handle mkeo/mumeo
na mimi niko nafanya research.... mtu anafanya research kujaribu kama mamba anaua au laah, sembuse mimi nafanya research jukwaa la wakubwa.. niko smarter

Umejuaje hayo yote?
 
Wewe ulisema una miaka 17...huko kwa wakubwa unatafuta nini?

Subiri ukue
 
Back
Top Bottom