Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mada za kuwasema Single Mother zimekuwa nyingi sana ila watu hawajui kuwa Wanaume wenye watoto ambao washatengana na wenza wao ni Pipa na mfuniko na Masingle Mother hawana tofauti ni kitu kimoja...
6 Reactions
17 Replies
136 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
5 Reactions
103 Replies
1K Views
  • Suggestion
PATRIOTISM AND ACCOUNTABILITY It's obvious the level of patriotism among Tanzanians has decreased which closely relates to the dysfunctional of public organizations in society. For example...
0 Reactions
1 Replies
8 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
15 Reactions
125 Replies
1K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
7 Reactions
19 Replies
49 Views
Habari za jioni Wakuu Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule. Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa...
18 Reactions
55 Replies
691 Views
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani...
7 Reactions
30 Replies
389 Views
Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point...
3 Reactions
6 Replies
176 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
6 Reactions
93 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,407
Posts
49,715,721
Back
Top Bottom