Kitaa sio safi!
kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala.
Sisi watanzania...
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Habari Wakuu,
Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji...
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo.
Katika kipindi chake...
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh...
Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako.
Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme...
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na...
1. UWAJIBIKAJI: Mvulana uwajibike kwa matendo yako na uwajibike kwa makosa yako.
2. HESHIMA : Onyesha heshima kwako na kwa wengine, pamoja na wale ambao ni tofauti na wewe.
3. UAMINIFU : Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.