Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. "" "" "" "" "" "" "" "" "" " TRA wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata mgogoro...
28 Reactions
160 Replies
7K Views
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
11 Reactions
177 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule...
1 Reactions
1 Replies
8 Views
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
7 Reactions
217 Replies
2K Views
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine? === Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza...
1 Reactions
15 Replies
254 Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
14 Reactions
171 Replies
6K Views
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
6 Reactions
38 Replies
884 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,236
Posts
49,685,509
Back
Top Bottom