Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe...
13 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
9 Reactions
68 Replies
984 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
272 Replies
32K Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
47 Reactions
173 Replies
5K Views
Kwema wakuu. kama mada inavyojieleza. kumekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate. Mfano unakuta...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
7 Reactions
50 Replies
568 Views
Wadau hamjamboni nyote Taarifa kamili hapo chini ... 🚨 𝗞𝗠𝗖 𝗪𝗔𝗜𝗚𝗢𝗠𝗘𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗖 Wameandika barua bodi ya ligi, wanadai kanuni imekiukwa. Wamekataa kwenda Arusha. "Ukisoma kanuni zinakwambia...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Straight forward, aisee mwenzenu nimeona isiwetabu tuachane tu, mwanamke wangu alinitilia mashaka kuwa namucheat akanambia akigundua namucheat atanikata naniliu zangu usiku wewe nikaona isiwe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es...
7 Reactions
92 Replies
3K Views
Nahitaji mwanasheria/wakili Mbobezi Ambae atanisaidia kuendesha mashtaka yangu mahakamani. Kesi ni Ya WIZI ila wizi ambao ndugu wanataka ugeuza uwe madai tumalize nnje ya mahakama ila hawafiki...
2 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,270
Posts
49,686,435
Back
Top Bottom