GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 388
- 473
Straight forward, aisee mwenzenu nimeona isiwetabu tuachane tu, mwanamke wangu alinitilia mashaka kuwa namucheat.
Akanambia akigundua namcheat atanikata naniliu zangu usiku wewe nikaona isiwe shida bora tuachane tu.
Kuwa na mwanamke mmoja ni kipaji. Kila siku ladha hio hio siwezi.
NB: Wale wazee wa nyeto msichangie uzi.