Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa...
11 Reactions
31 Replies
196 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
13 Reactions
141 Replies
3K Views
HOFU YA UMRI INAVYOFANYA WATU WAPOTEZE UHURU WA KUCHAGUA. Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata...
5 Reactions
22 Replies
322 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia...
10 Reactions
217 Replies
1K Views
Wakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa...
3 Reactions
1 Replies
15 Views
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni...
9 Reactions
35 Replies
8K Views
General Knowledge. Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo...
103 Reactions
3K Replies
260K Views
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio...
13 Reactions
193 Replies
9K Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
8 Reactions
108 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
202K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,857,720
Posts
49,726,326
Back
Top Bottom