Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama...
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.