Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanasema wasi wasi na jambo unapolileta hapa JF linaweza kubezwa au kutafakari kama wenye kulifahamu.Mkoa wa pwani upande kusini ni kama ulisahaulika kiasi fulani.ila baada yale ya kibiti na...
6 Reactions
16 Replies
283 Views
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
0 Reactions
44 Replies
129 Views
Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
3 Reactions
12 Replies
288 Views
Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita...
0 Reactions
8 Replies
108 Views
Habari wanaJF. Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
0 Reactions
13 Replies
150 Views
Habari, Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa...
2 Reactions
7 Replies
61 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
5 Reactions
27 Replies
224 Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
9 Reactions
28 Replies
654 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge...
6 Reactions
15 Replies
284 Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
9 Reactions
22 Replies
479 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,996
Posts
49,703,698
Back
Top Bottom