Ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa kisheria ili nisivunje sheria za uendeshaji wa kampuni

Mech

Senior Member
Nov 13, 2017
120
270
Habari,

Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa masharti yafuatayo.

1. Atatukopesha fedha (Isiyokuwa na riba) tuizungushie kwenye kampuni yetu then tutairudisha baada ya miaka 3.

2. Kwa kuwa kampuni yetu inadeal na services, hivyo anataka hela atakazotukopesha zikae kwenye Account ya UTT. Hivyo tutatakiwa kufungua Acc ya UTT kwa jina la Kampuni, na tutakuwa tunatoa hela pale zikihitajika kwa shughuli za kampuni tu na si vinginevyo.

3. Ikitokea amepata changamoto inayohitaji hela, basi kila mwaka atakuwa anachukua 1/3 ya hela aliyotuazima (Mkopo usio na riba)

Maswali yangu ni:-

a. Ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa kisheria ili nisivunje sheria za uendeshaji wa kampuni.

b. Kwenye upande wa vitabu vya auditing, mikopo ya aina hii (Isiyokuwa na riba) na kutoka kwa mtu binafsi inaingia kwenye kundi gani?.

c. Fedha ambazo zitakuwa kwenye Account ya UTT yenye jina la kampuni, zitakuwa kwenye kundi gani katika vitabu vya auditing?. Je zitahesabika kama Asset au Running Capital?

d. Pindi Investor (Ndugu) akiwa anachukua hela zake alizotukopesha, je ndugu zetu wa TRA hawatataka zikatwe kodi wakati ulikuwa ni mkopo usiokuwa na riba?.

Majibu, mawazo na ushauri wenu utakuwa muongozo mkubwa sana kwangu.

Asanteni.
 
Shalom Kaka
Nimekuelewa Sana ila kwa userious wa jambo hili hapa sio mahali sahihi Sana, kama Kampuni unamuhitaji mshauri wa Mambo ya fedha lipa fee muwe na mtu wa taaluma hiyo, ushauri wa watu mbalimbali hautoshi Mambo ni mengi Sana eti ni vyema urnde kwa wataalamu, ahsante
 
Sidhani kama utapata msaada hapa! Vinginevyo uombe namba ili mfanye mawasiliano vizuri au utafute makampuni ya mhasibu huko mtaani kwako, maana huo ushauri unaoutaka ni biashara huwa unalipwa.
 
1. Andaa Mkataba wa Mkopo usio na riba. Kisha muandikishane kiasi na taratibu zote za urejeshaji wa Mkopo.

2. Mikopo isiyo na riba itachukuliwa kama mkopo mwingine wa kawaida kwenye vitabu.

3. Mkuu, running capital nayo ni asset. Hivyo zitaingizwa kwenye Current assets.

4. TRA hawapaswi kuwakata kodi. Kwa sababu mikopo isiyo na riba haitozwi kodi. Ndiyo maana ni vema mkataba wa mkopo uwepo, na mnapoanza kurejesha kuwepo nyaraka zinazoonyesha ni fedha za kuazima. Siyo malipo ya huduma wala marejesho ya mkopo..

Watakusaidia wengine kuweka sawa zaidi. Mimi si Mhasibu. Ukitaka kwa undani zaidi, tafuta si Mhasibu tu, pia mwanasheria.

Ngoja nikuitie CPA OKW BOBAN SUNZU..
 
Shalom Kaka
Nimekuelewa Sana ila kwa userious wa jambo hili hapa sio mahali sahihi Sana, kama Kampuni unamuhitaji mshauri wa Mambo ya fedha lipa fee muwe na mtu wa taaluma hiyo, ushauri wa watu mbalimbali hautoshi Mambo ni mengi Sana eti ni vyema urnde kwa wataalamu, ahsante
Asante.
 
1. Andaa Mkataba wa Mkopo usio na riba. Kisha muandikishane kiasi na taratibu zote za urejeshaji wa Mkopo.

2. Mikopo isiyo na riba itachukuliwa kama mkopo mwingine wa kawaida kwenye vitabu.

3. Mkuu, running capital nayo ni asset. Hivyo zitaingizwa kwenye Current assets.

4. TRA hawapaswi kuwakata kodi. Kwa sababu mikopo isiyo na riba haitozwi kodi. Ndiyo maana ni vema mkataba wa mkopo uwepo, na mnapoanza kurejesha kuwepo nyaraka zinazoonyesha ni fedha za kuazima. Siyo malipo ya huduma wala marejesho ya mkopo..

Watakusaidia wengine kuweka sawa zaidi. Mimi si Mhasibu. Ukitaka kwa undani zaidi, tafuta si Mhasibu tu, pia mwanasheria.

Ngoja nikuitie CPA OKW BOBAN SUNZU..
Umetisha sana Mkuu,

Asante sana.
 
Ukweli ni upi Mkuu..

Share tupate kujifunza...
Kuna haja Gani kama Mtu amejitoa kulipa pesa si amekuamini ,aliyetoa pesa ndio alete condition zake kama alivyotoa pesa bila riba ,ww umepewa pesa bila riba alafu ww tena unatafuta ushauri jinsi Gani ya kukubaliana na mkopo !
 
Shukrani sanaa mkuu atafute MTU mwenye expert au financial consultant firm ama Mimi pia naweza kua msaada kwako
Baadae brother angu alisema atakuja kunitembelea Ni expert (Guru) wa Mambo ya fedha ntamdodosa then ntakuja kuandika something baadae kwa faida ya wengi....
 
Mimi sitafuti ushauri wa namna gani ya kukubaliana na mkopo. Hiyo hela ipo standby....

Mimi nahitaji kujua taratibu zinazotakiwa kufuatwa bila kuvunja sheria za uendeshaji wa kampuni kulingana na matakwa ya itakayowekwa UTT....
 
Shukrani sanaa mkuu atafute MTU mwenye expert au financial consultant firm ama Mimi pia naweza kua msaada kwako
Baadae brother angu alisema atakuja kunitembelea Ni expert (Guru) wa Mambo ya fedha ntamdodosa then ntakuja kuandika something baadae kwa faida ya wengi....
Shukrani sana kaka..

Hiyo elimu utatupatia ili na sisi tujifunze....
 
Back
Top Bottom