Tundu Lissu: Rais Samia alinilipa tsh million 79 kiinua mgongo changu, nikapewa tsh million 9 na million 70 zikalipa Deni ya Gari iliyopigwa risasi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,460
147,189
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lissu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lissu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Sasa Jo,naomba tutafutie Luca atupe maelezo ya ziada🤔
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Lisu aache utapeli!
Anasema "wabunge wenzake", ati walimwambia alitakiwa kulipwa milioni 196?
Kwani hajui ofisi ya kwenda kukokotoa stahiki yake kama mbunge?

Na gari alilokopa bado si la kwake? Au anataka kusema gari hilo halitaki?
Lisu aache kuchezea hisia za wana CHADEMA wenzake.
 
Hapo Ndiyo nimeelewa kwanini achangiwe kununua gari
 
Lisu aache utapeli!
Anasema "wabunge wenzake", ati walimwambia alitakiwa kulipwa milioni 196?
Kwani hajui ofisi ya kwenda kukokotoa stahiki yake kama mbunge?

Na gari alilokopa bado si la kwake? Au anataka kusema gari hilo halitaki?
Lisu aache kuchezea hisia za wana CHADEMA wenzake.
Ofisi gani aende?

Ndugai alimbania Sema tu Rais Samia akaingilia Kati ndio akalipwa

Uwage unaelewa we Muha 😂😂

Kwako Lucas 😂🔥
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Kumbe anatambua kuwa mwenye pesa ni Samia na siyo Serikali kama wasemavyo majukwaani. Ufipa vigeugeu sana.
Viva Samia
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Ndugai alikuwa ni shetani haswa
 
Lisu aache utapeli!
Anasema "wabunge wenzake", ati walimwambia alitakiwa kulipwa milioni 196?
Kwani hajui ofisi ya kwenda kukokotoa stahiki yake kama mbunge?

Na gari alilokopa bado si la kwake? Au anataka kusema gari hilo halitaki?
Lisu aache kuchezea hisia za wana CHADEMA wenzake.
Wewe inakuhusu ni nini?
 
Mkopo wa gari ni lazima uchukue la 79M?

Nigeria wana switch kwenye gari za umeme kuokoa gharama
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Dawa ya deni ni kulipa!
 
Lisu aache utapeli!
Anasema "wabunge wenzake", ati walimwambia alitakiwa kulipwa milioni 196?
Kwani hajui ofisi ya kwenda kukokotoa stahiki yake kama mbunge?

Na gari alilokopa bado si la kwake? Au anataka kusema gari hilo halitaki?
Lisu aache kuchezea hisia za wana CHADEMA wenzake.
Wakati mwingine Lissu anajionesha wazi wazi kuwa anapenda kudeka na kuonewa huruma.

Kama kiongozi kuna mambo mengine siyo ya kujibu jibu kila mahali.

Lissu astuoneshe kwa vitendo kuwa hajajiandaa kuwa rais wa nchi.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake

Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge wenzake ni kwamba alitakiwa kulipwa tsh million 196 lakini yeye alilipwa tsh million 79 tu

Lisu anasema alikabidhiwa tsh million 9 na zilizobaki zilikatwa kufidia mkopo wa Gari hii aliyokabidhiwa Juzi pale Polisi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Mtu asiye na shukran
 
"Watu wazuri hawafi" - Sensu Makamba Sr. Hii ina maana Ndugai ni mtu mzuri na ndiyo maana hajafa.
 
Back
Top Bottom