Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wanaJF. Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
0 Reactions
12 Replies
150 Views
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
0 Reactions
30 Replies
129 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
22 Reactions
248 Replies
4K Views
Wana Bodi,Leo chadema wanafanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa kanda ya VIctoria.Uchaguzi huo unafanyika mjini Bukoba . Wagombea ni Ezekiel Wenje na John Pambalu. Tutakuletea yanayojiri...
0 Reactions
4 Replies
62 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake Lisu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge...
6 Reactions
14 Replies
284 Views
Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
19 Reactions
54 Replies
727 Views
Wakuu kwema? Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema...
7 Reactions
20 Replies
445 Views
1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha. 2...
1 Reactions
5 Replies
91 Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
8 Reactions
20 Replies
479 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,985
Posts
49,703,612
Back
Top Bottom