Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
13 Reactions
81 Replies
1K Views
JE, NDEGE INARUDI NYUMA? Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking). Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
36 Reactions
375 Replies
16K Views
Picha linaanza dem mzuriiiiii shyombe shyombee pisi ya kwenda. Mkiongea mkimya mtaratbu nikaona isiwe shida nijiweke. Kweli akanielewa Fresh tumeanza safari yetu. Onbed hana time she is like...
1 Reactions
14 Replies
15 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
4 Reactions
81 Replies
1K Views
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
52 Reactions
421 Replies
24K Views
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana. Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga? Ulitaka kuonekana tofauti...
3 Reactions
29 Replies
447 Views
Kuna mtoto wa miaka 5 kaama asub akawa amevimba mashavu yote chini ya masikio halafu ana homa kali. Ma dk huu ni ugonjwa gani?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
32 Reactions
257 Replies
10K Views
Nimeona clip ya RC Makonda akiwa Longidi na kisha yamefuatia malalamiko kutoka Kituo cha Haki za Binadamu pale Kijitonyama na sasa Umoja wa Wanawake wa CCM Kufikia kesho siyo ajabu tukawasikia...
3 Reactions
19 Replies
309 Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
10 Reactions
40 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,151
Posts
49,708,462
Back
Top Bottom