Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri.
Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
Binafsi nachukulia vurugu na ndondi zinazoendelea kwenye Chaguzi za Ndani za Chadema kama Ukomavu wa Demokrasia ya Watu kukataa kuburuzwa
Na hiyo ni dalili njema kwa chama cha Upinzani Duniani...
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.