Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
5 Reactions
130 Replies
2K Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
15 Reactions
87 Replies
1K Views
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh...
2 Reactions
14 Replies
419 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
11 Reactions
120 Replies
3K Views
Wadau njooni hapa tufarijiane. Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri...
3 Reactions
30 Replies
619 Views
NAWAKUMBUKA SANA Kwenye picha hapo chini wa kwanza kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mwandishi na Farouk Abdullah. Muscat mwaka wa 1999. Nimeweka kitabu cha kumbukumbu ya...
1 Reactions
4 Replies
46 Views
=== Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
24 Reactions
312 Replies
3K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
135K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views

FORUM STATS

Threads
1,857,159
Posts
49,708,657
Back
Top Bottom