Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
4 Reactions
29 Replies
331 Views
Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi. Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe...
1 Reactions
19 Replies
280 Views
Jamani naomba msaada wemu. Nitakuwa tanga mjini kwa muda wa mwezi 1. natafuta sehemu ya kufikia. Kwa anayefahamu naomba msaada. Mungu awabariki.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
12 Reactions
93 Replies
2K Views
Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua...
4 Reactions
20 Replies
261 Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka...
8 Reactions
117 Replies
1K Views
Aliyekuaa kocha wa Miamba ya Hispania, Xavi Hernàndez leo asubuhi ameachishwa kazi na rais wa Miamba hiyo Joan la Porta imeripotiwa Xavi na mchezaji muhimu wa zamani wa barcelona hatokua tena pale...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Hii ikufikie Boss wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (PCCB) wilaya ya Bunda mkoani Mara. Wiki hii Kuna kijana mmoja ambaye kaanzisha operation ya kupita kwa baadhi ya maduka ya...
3 Reactions
21 Replies
261 Views
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Mwenye access ya kunisaidia kunifanikishia kujiunga na huduma za post paid ya mtandao wa simu wowote ule naomba tuwasiliane PM. Longolongo za fika tigo shop, Voda shop, Airtel shop sijui...
0 Reactions
1 Replies
103 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,672
Posts
49,696,151
Back
Top Bottom