Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka wanajamvi. Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty. Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki...
21 Reactions
151 Replies
2K Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
0 Reactions
11 Replies
188 Views
Wafanyakazi wote wa SGR kipande cha Makutupora-Tabora wamepewa taarifa ya kutokuendelea na kazi zao kuanzia Mei 23, 2024 hadi hapo watakapo tangaziwa tena. Sababu za kusimamishwa kwao bado...
0 Reactions
9 Replies
202 Views
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Miaka miwil iliyopita nilienda kukopa benki fulani hapa Tanzania, na wakatuma deni kwa Afisa Utumishi na deni lilikuwa ni 12M, kilichotokea Afisa utumishi akakosea akaandika bilioni 1.2! Cha...
3 Reactions
17 Replies
238 Views
Napendekeza Serikali ianze kuangalia suala la kodi kwenye harusi. Binafsi kwa mwaka nachangia karibu laki sita kwenye shughuli za sherehe za harusi. Huko nakunywa soda zisizozidi 6 na maji madogo...
1 Reactions
13 Replies
919 Views
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi...
53 Reactions
659 Replies
130K Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
3 Reactions
32 Replies
317 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,666
Posts
49,695,982
Back
Top Bottom