Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram...
Wacha niwaorodheshee Top 15 ya ngoma pendwa duniani
1. Despacito ya Luis Fonsi na Daddy Yankee yenye watazamaji 8,441,831,151846,384 YouTube
2. See You Again ya Wiz Khalifa na Charlie Puth yenye...
Wakuu kwema?
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata...
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.
Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.