1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Rais wa WBC Mauricio Suleiman atoa pendekezo kuwe na V.A.R kwenye pambano la wababe kati ya Tyson Fury (Gypsy King) na Oleksandr Usyk (The cat).
Mauricio hakuishia hapo apendekeza pia kuwe na...
Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6...
Binafsi nimeridhishwa sana na aina ya mpira unaocheza timu ya Yanga, controll ya mpira+ utulivu na kasi. Nimeona timu ikianza kufanya build up kwanzia nyuma na wanafika hadi mwisho. Mpira...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.