changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 5,718
- 9,430
Binafsi nimeridhishwa sana na aina ya mpira unaocheza timu ya Yanga, controll ya mpira+ utulivu na kasi. Nimeona timu ikianza kufanya build up kwanzia nyuma na wanafika hadi mwisho. Mpira unachezwa haswa naiona Yanga ikiwa ni timu pamoja na kuondoka kwa Nabi, lakini soka linalotandazwa ni zaidi ya ile Yanga iliyoachwa na Nabi. Tukiweza kutatua changamoto moja tu ya finishing basi hakuna wa kuizuia Yanga kutetea kombe la ligi kuu na Azam Federation.
Mashabiki wenzangu poleni lakini tutoe sapoti kwa wachezaji na benchi la ufundi tusimame pamoja tuna timu bora
Mashabiki wenzangu poleni lakini tutoe sapoti kwa wachezaji na benchi la ufundi tusimame pamoja tuna timu bora