Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za...
58 Reactions
60 Replies
5K Views
MBUNGE MARTHA MARIKI Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu...
0 Reactions
11 Replies
127 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
736K Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato...
1 Reactions
15 Replies
153 Views
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar e Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
0 Reactions
5 Replies
79 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
90 Reactions
551 Replies
17K Views
Habari za mchana ndugu zangu wa JF. Leo nimewaza sana kuhusu demokrasia ya kuchagua au kuchaguliwa katika bara letu zuri la Africa ninalolipenda sana. Katika muingiliano wa uchanganyaji wa damu...
8 Reactions
38 Replies
486 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,303
Posts
49,628,230
Back
Top Bottom