Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,063
- 1,375
Habari za mchana ndugu zangu wa JF.
Leo nimewaza sana kuhusu demokrasia ya kuchagua au kuchaguliwa katika bara letu zuri la Africa ninalolipenda sana.
Katika muingiliano wa uchanganyaji wa damu za kiafrika na wenzetu weupe kama vile wachina,wajerumani,waarabu,wahindi,waingereza na wengineo kunatokea hawa machotara ama halfcasts.
Mfano mchina akizaa na msambaa au mchagaa yule mtoto anakulia hapa Tanzania anasoma vizuri je ipo siku akiwa raia safi akaaminika tukamchagua akawa Raisi au makamu au PM?
Nawaza anaweza akaleta maendeleo Tanzania siku moja miaka ijayo ikawa kama China au America.
Toa maoni yako kistarabu karibu.