Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC.
Je, ni tawi la...
Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.