Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
19 Reactions
68 Replies
1K Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
15 Reactions
216 Replies
5K Views
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
7 Reactions
38 Replies
925 Views
Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
0 Reactions
1 Replies
2 Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
15 Reactions
147 Replies
3K Views
Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la...
1 Reactions
9 Replies
27 Views
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
3 Reactions
22 Replies
643 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,331
Posts
49,629,098
Back
Top Bottom