Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara
Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe...
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Vyuo vikuu, vinamchango mkubwa sana katíka ukuaji wa miji. Uwepo wa vyuo hasababisha biashara kufanyika kiurahisi. Mfano biashara za usafirishaji,vyakula,mavazi, vifaa vya umeme n.k vyuo huhuisha...
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.
Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali.
Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.