Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India.
Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50...
Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pwmojanna mashirika mengine kama...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone...
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.