Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Habari wakuu, ninampango wa kununua mashine ya kukamua juice ya miwa naombeni mawazo yenu, ushauri na changamoto.
Malengo yangu ninunue mashine niikodishe kwa kijana, nitafute site kariakoo Dar...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.