TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake.
Kikwete akiwa Rais aliiacha...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende...
Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.