Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili.
=====
Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years...
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu.
Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30.
Pia nachukua fursa hii kuwapa...
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne.
Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
====
Pia soma:
Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya...
Habarini wadau.
Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.