Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atalitolea tamko...
Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:
1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa...
Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.