Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape...
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya...
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund
Nickname(s)
Die...
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.