Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote...
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama
Au pale Kanisani Machame...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
====
Pia soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.