Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
0 Reactions
6 Replies
91 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
5 Reactions
53 Replies
979 Views
Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
8 Reactions
63 Replies
425 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Bongo kweli nyoso mvua zote hizi siku sijui ya ngapi hatuna maji, Haya maji mengi kwamba mnavyojenga sehemu za kuvuna maji mliwaza kuwa sio zote ni kiangazi Kuweni serious wengine basi, bomba...
1 Reactions
12 Replies
133 Views
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa...
4 Reactions
23 Replies
226 Views
BY OSCER OSCER MUNHU ANAKUONA KAKA REJEA KICHWA CHA HABARI WANASIMBA HIZI SARE @@TUTAKI TUPEN MITANDIO YAKEE
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Nahitaji kunde ,maharage, choroko na njungumawe kwa bei ya jumla. Mimi nipo Dar, Mabibo.
1 Reactions
37 Replies
674 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,036
Posts
49,535,789
Members
667,317
Latest member
jafusadiki
Back
Top Bottom