Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali. NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa...
2 Reactions
14 Replies
288 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
20 Reactions
198 Replies
9K Views
Unakutana na binti kavaa suruali yake au vazi lolote zuri kapendeza unampenda hatimae mnaazisha uhusiano mpaka ndoa. Ukishamtia mikononi mwako unamzuia mavazi fulani kuvaa ikiwemo yale uliyomkuta...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
42 Reactions
260 Replies
6K Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche kuhusu uhuni uliofanyika kwa Tanganyika.
2 Reactions
5 Replies
91 Views
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU. 1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
10 Reactions
38 Replies
621 Views
Namwongelea na najua atajiskia vibaya but please kaa mbali na ndoa yangu usijekunivurugia kama ulivyoharibu ya kwako. Najua tuna urafiki wa muda mrefu,siri zako nyingi nazijua nawe wazifahamu...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Kijana mmoja shija kasamwa mwenye umri wa miaka 28,leo mchana amejikuta akipata masahibu ambayo iwapo atapona kamwe hatayasahau kabisa ktk maisha yake. Kijana huyo mkazi wa mkoa wa Shinyanga ktk...
3 Reactions
109 Replies
17K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan...
0 Reactions
4 Replies
63 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,799
Posts
49,528,181
Members
667,238
Latest member
Ricfree
Back
Top Bottom