Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Namwongelea na najua atajiskia vibaya but please kaa mbali na ndoa yangu usijekunivurugia kama ulivyoharibu ya kwako.
Najua tuna urafiki wa muda mrefu,siri zako nyingi nazijua nawe wazifahamu zangu, but this is too much, toka mkosane na MRS wako nyumba yako umeibadilisha gest,unabadili wadada kama shati, ila kuna huyu mmoja ambae umetutambulisha kwamba unataka kumwoa ni jambo jema labda utatulia ila.
Tatizo langu mimi na wewe ni lile la kila mdada anayekukuta nae wewe husingizia ni mtu wangu na shem akiniuliza huwa najitahidi kukufichia siri ila ulilofanya jana sikulipenda.
Mpenzi wako kakuta nywele za kike kitandani kwako anakuuliza unanisingizia kwamba mimi ndio nilikuwa hapo na mwanamke kweli!Na mbaya zaidi kayafikisha kwa mke wangu,tayari nina mgogoro hapa kwangu.Narudia kusema stay away na sitaki kutumika kukufichia madhambi yako,