Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢 Halafu mnaimba kuwa anaupiga...
7 Reactions
42 Replies
837 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Ukiangalia vizuri list ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani utagundua kuwa list ya yuo bora haitofautiani sana na list ya ukubwa wa endowmnet funds za vyuo. Hili suala lipo hivyohivyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
38 Reactions
51K Replies
2M Views
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a...
1 Reactions
17 Replies
97 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
0 Reactions
45 Replies
266 Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
4 Reactions
57 Replies
466 Views
Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka...
22 Reactions
96 Replies
1K Views
Hii inatokana na kurudia makosa mara kwa maranya kujifunga. Huyo jamaa ni MAMLIKI na ni YANGA lialia
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
2 Reactions
8 Replies
71 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,944
Posts
49,533,153
Members
667,295
Latest member
Jafu jafu
Back
Top Bottom