Kennedy Juma hatufai Simba ni Mamluki wa Yanga

Yaaani Kennedy kafuata Nyayo za Hassan Kessy. Kwa hasira nilizoona wadau wanazo kumhusu ajiangalie sana Mwamba sizani kama atakuja kukubalika kwenye mioyo ya WanaSimba tena.

Leo kazingua sana sana sana tena sana. Kennedy Juma kwaheri Mwamba msimu ujao ni tia maji tia maji jiandae ukajitafute hukoooo KEN GOLD Chunya!
 
Hili liko wazi na tatizo la muda mrefu, cha ajabu watu wa mbali wanaona vizuri matatizo ya timu kuliko walio karibu na timu. Simba haiwezi kupiga hatua mpaka mambo ya kuoneana haya yatakapokwisha
 
Hii inatokana na kurudia makosa mara kwa maranya kujifunga.

Huyo jamaa ni mamluki na ni YANGA lialia
Mawazo wa namna hii ni adui wa maendeleo ya soka na maisha wachezaji.
Mkuu umewahi hata kuichangia klabu yako wa kulipia ada ya uanachama?
 
SIMBA TUACHE KUOAGAWA
  1. Inonga majeruhi
  2. Kazi majeruhi
  3. Kapombe majeruhi
  4. Chama ,ajeruhi
  5. Chasambi majeruhi
  6. Saydou mapumzikon

Makocha hawana ajizi
 
Goli la jana wengi wanamlaumu Kennedy kwavile hana bahati nzuri na wana Simba, lakini kosa ni la kipa lile goli. Lengo la Kennedy ni kurudisha mpira kwa kipa kwa kichwa na ndio maana hakupiga kwa nguvu. Ayoub katoka golini bila mawasiliano na kwa mechi ya jana Ayoub alifanya kosa la namna hilo mara mbili na moja kaokolewa na refa.
 
Back
Top Bottom