Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
3 Reactions
37 Replies
561 Views
  • Sticky
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
97 Reactions
24K Replies
2M Views
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
68K Views
Heshima yenu wakuu, Sikubaliani na kitendo cha Serikali ya Tanzania kutaka Kuwatengenezea Daraja la Peke yao watu wa Masaki. Huu ni Ubaguzi wa hali ya juu na Itafanya sisi Masikini tuendelee...
40 Reactions
251 Replies
42K Views
Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee 1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya...
5 Reactions
15 Replies
201 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
65 Reactions
344 Replies
13K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,312
Posts
49,543,088
Members
667,402
Latest member
mpomalamu
Back
Top Bottom