Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama...
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA
Nimejifunza mambo haya kwenye hili
1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo Mei mosi 2024, tunawatakia wafanyakazi wote wa Tanzania sikukuu njema.
Salam zetu kwao ni kwamba;
1. tunawaasa wawe na mahusiano mazuri kazini, wapendane, waache kuoneana wivu, waache...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Bado naendelea kutafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano ya kimapenzi.
Vigezo nahitaji mwanamke msikivu mwenye adabu.
Makazi awe anaishi dar
Umri kuanzia 20-45 wote nawakaribisha.
Umri...
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni
Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante'
Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.