Recent content by Zyusual

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mie nakusubiri unielekeze japo kidogo namna ya kupamba nkamu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession:Mass Communication Education level: Bachelor of arts in Mass communication Experience: I have been working with NGOs for five years Gender: Female Location: Mbeya
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Hii ni fursa mkuu,naomba hii nafasi,mimi niko Mbeya
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mkague mgeni wako kabla hajaingia ndani

    Mkuu,Sijui kwanini huwa nahisi ni mtu ninayekufahamu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Yaani chiko na ushindi hamna wachezaji mule
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Muhimu point tatu na burudani
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Wamekosea njia ya kutokea wamengia kwenye bus la yanga
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Shangaa na wewe mkuu,yaani kila baya ni lao
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Asante sana mkuu kwa msaada wako
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Asante kwa ushauri mkuu Naamini mwenye mawasiliano yake atanisaidia
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Nina hisi kuna watu wanakula kwa kupitia mgongo wa mstaafu
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Itabidi tu apande basi afike makao makuu yao ingawa alishawah fanya hivyo
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Pole mkuu,hapo kuna mtu anataka rushwa
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Very delicious 😋
Back
Top Bottom